Simamia shughuli zako za kifedha

Kiurahisi na kiufanisi.

Manunuzi

Hifadhi taarifa za manunuzi ya bidhaa katika biashara yako.

Mauzo

Tunza taarifa za mauzo yote ya bidhaa zako kila siku.

Matumizi

Simamia matumizi yote katika biashara yako

Ripoti

Pata ripoti za kifedha kulingana na mahitaji ya biashara yako.

Vifurushi

Chagua kifurushi kulingana na mahitaji na ukubwa wa biashara yako

Swala

Tzs500 / Ripoti

  • Rekodi Manunuzi
  • Rekodi Mauzo
  • Rekodi Matumizi
  • Biashara Moja
  • Mtumiaji mmoja
  • Huduma kwa wateja 24/7

Tembo

Tzs30,000 / Mwezi

  • Rekodi Manunuzi
  • Rekodi Mauzo
  • Rekodi Matumizi
  • Biashara nne
  • Watumiaji nne
  • Huduma kwa wateja 24/7
  • Ripoti Bure
  • Ushauri wa wataalam

Shuhuda

Tazama shuhuda za hivi karibuni kutoka kwa watumiaji wa mfumo wa Jimudu.

Unasubiri nini?

Kujiunga na mfumo huu ni Bure na rahisi. Jiunge sasa na Jimudu kwa maendeleo chanya ya biashara yako!

Jiunge